Mon Oct 12 2020 14:11:44 GMT+0100 (Afr. centrale Ouest)
This commit is contained in:
parent
391db755b5
commit
b47b9eb094
|
@ -1 +1 @@
|
|||
9 Basi tuseme nini? Sisi Wayuda tunawapita Wagriki nini? Hatuwapiti kitu hata kimoja! Kwa maana nimekwisha kuonyesha kwamba Wayuda na watu wa mataifa mengine wote wako chini ya utawala wa zambi. 10 Ni sawa ilivyoandikwa katika Maandiko Matakatifu: «Hakuna hata mtu mmoja mwenye haki! 11 Hakuna mtu mwenye ufahamu, hakuna mwenye kushugulika na Mungu. 12 Wote wamepotea, wote kwa jumla wamepotoka. Hakuna mwenye kufanya mema, hata mmoja.
|
||||
\v 9 Basi tuseme nini? Sisi Wayuda tunawapita Wagriki nini? Hatuwapiti kitu hata kimoja! Kwa maana nimekwisha kuonyesha kwamba Wayuda na watu wa mataifa mengine wote wako chini ya utawala wa zambi. \v 10 Ni sawa ilivyoandikwa katika Maandiko Matakatifu: «Hakuna hata mtu mmoja mwenye haki!
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 11 Hakuna mtu mwenye ufahamu, hakuna mwenye kushugulika na Mungu. \v 12 Wote wamepotea, wote kwa jumla wamepotoka. Hakuna mwenye kufanya mema, hata mmoja.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 13 Vinywa vyao ni kama kaburi wazi, ndimi zao ni za kudanganya, ndani ya midomo yao munatoka sumu kali sawa ya nyoka. \v 14 Vinywa vyao vinajaa laana na maneno ya uchungu.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 15 Wao ni wepesi kwa kumwanga damu. \v 16 Wanaharibu na kuangamiza popote wanapopita, \v 17 hawawazi juu ya njia ya kuleta amani, \v 18 nao hawamwogopi Mungu hata kidogo.»
|
|
@ -70,6 +70,10 @@
|
|||
"03-01",
|
||||
"03-03",
|
||||
"03-05",
|
||||
"03-07"
|
||||
"03-07",
|
||||
"03-09",
|
||||
"03-11",
|
||||
"03-13",
|
||||
"03-15"
|
||||
]
|
||||
}
|
Loading…
Reference in New Issue