From b47b9eb094f99e327ba45777ec9bbd60214a9785 Mon Sep 17 00:00:00 2001 From: tsDesktop Date: Mon, 12 Oct 2020 14:11:45 +0100 Subject: [PATCH] Mon Oct 12 2020 14:11:44 GMT+0100 (Afr. centrale Ouest) --- 03/09.txt | 2 +- 03/11.txt | 1 + 03/13.txt | 1 + 03/15.txt | 1 + manifest.json | 6 +++++- 5 files changed, 9 insertions(+), 2 deletions(-) create mode 100644 03/11.txt create mode 100644 03/13.txt create mode 100644 03/15.txt diff --git a/03/09.txt b/03/09.txt index d1d7acb..0bd146a 100644 --- a/03/09.txt +++ b/03/09.txt @@ -1 +1 @@ -9 Basi tuseme nini? Sisi Wayuda tunawapita Wagriki nini? Hatuwapiti kitu hata kimoja! Kwa maana nimekwisha kuonyesha kwamba Wayuda na watu wa mataifa mengine wote wako chini ya utawala wa zambi. 10 Ni sawa ilivyoandikwa katika Maandiko Matakatifu: «Hakuna hata mtu mmoja mwenye haki! 11 Hakuna mtu mwenye ufahamu, hakuna mwenye kushugulika na Mungu. 12 Wote wamepotea, wote kwa jumla wamepotoka. Hakuna mwenye kufanya mema, hata mmoja. \ No newline at end of file +\v 9 Basi tuseme nini? Sisi Wayuda tunawapita Wagriki nini? Hatuwapiti kitu hata kimoja! Kwa maana nimekwisha kuonyesha kwamba Wayuda na watu wa mataifa mengine wote wako chini ya utawala wa zambi. \v 10 Ni sawa ilivyoandikwa katika Maandiko Matakatifu: «Hakuna hata mtu mmoja mwenye haki! \ No newline at end of file diff --git a/03/11.txt b/03/11.txt new file mode 100644 index 0000000..41a9800 --- /dev/null +++ b/03/11.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 11 Hakuna mtu mwenye ufahamu, hakuna mwenye kushugulika na Mungu. \v 12 Wote wamepotea, wote kwa jumla wamepotoka. Hakuna mwenye kufanya mema, hata mmoja. \ No newline at end of file diff --git a/03/13.txt b/03/13.txt new file mode 100644 index 0000000..9e2f006 --- /dev/null +++ b/03/13.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 13 Vinywa vyao ni kama kaburi wazi, ndimi zao ni za kudanganya, ndani ya midomo yao munatoka sumu kali sawa ya nyoka. \v 14 Vinywa vyao vinajaa laana na maneno ya uchungu. \ No newline at end of file diff --git a/03/15.txt b/03/15.txt new file mode 100644 index 0000000..4e55c0e --- /dev/null +++ b/03/15.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 15 Wao ni wepesi kwa kumwanga damu. \v 16 Wanaharibu na kuangamiza popote wanapopita, \v 17 hawawazi juu ya njia ya kuleta amani, \v 18 nao hawamwogopi Mungu hata kidogo.» \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index 6748fee..ee70a1e 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -70,6 +70,10 @@ "03-01", "03-03", "03-05", - "03-07" + "03-07", + "03-09", + "03-11", + "03-13", + "03-15" ] } \ No newline at end of file