Mon Oct 12 2020 14:09:44 GMT+0100 (Afr. centrale Ouest)
This commit is contained in:
parent
14501468bb
commit
391db755b5
|
@ -1,2 +1 @@
|
|||
3 Tuseme nini basi? Ikiwa wamoja kati yao hawakukuwa waaminifu, jambo hilo litaweza kuonyesha kwamba Mungu ataacha kuwa mwaminifu? 4 Hapana hata kidogo! Sherti Mungu ajulikane kuwa mwenye ukweli, na kila mtu kuwa mwongo, kama inavyoandikwa katika Maandiko Matakatifu: «Ee Mungu, sherti ujulikane kuwa mwenye haki katika masemi yako.
|
||||
Nawe ushinde wakati unaposhitakiwa.»
|
||||
\v 3 Tuseme nini basi? Ikiwa wamoja kati yao hawakukuwa waaminifu, jambo hilo litaweza kuonyesha kwamba Mungu ataacha kuwa mwaminifu? \v 4 Hapana hata kidogo! Sherti Mungu ajulikane kuwa mwenye ukweli, na kila mtu kuwa mwongo, kama inavyoandikwa katika Maandiko Matakatifu: «Ee Mungu, sherti ujulikane kuwa mwenye haki katika masemi yako. Nawe ushinde wakati unaposhitakiwa.»
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 5 Lakini ikiwa kwa njia ya ubaya tunaofanya, Mungu anaonekana kuwa mwenye haki, basi tutasema kama Mungu hana haki wakati anapotuazibu? (Ninasema kwa mafikiri ya kimtu.) \v 6 Hapana hata kidogo! Ingekuwa vile, namna gani basi Mungu angeweza kuhukumu dunia?
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 7 Lakini ikiwa kwa njia ya uongo wangu ukweli wa Mungu unaonekana naye anatukuzwa zaidi, basi kwa nini tena ninahukumiwa kama mwenye zambi? \v 8 Ikiwa ni vile, basi tuseme: «Tufanye mabaya kusudi kutokee mema?» Hakika kuna watu wamoja wanaonisingizia wakisema kwamba nimesema vile. Watu hawa wataazibiwa sawa inavyowapasa! Hakuna mwenye haki mbele ya Mungu
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
9 Basi tuseme nini? Sisi Wayuda tunawapita Wagriki nini? Hatuwapiti kitu hata kimoja! Kwa maana nimekwisha kuonyesha kwamba Wayuda na watu wa mataifa mengine wote wako chini ya utawala wa zambi. 10 Ni sawa ilivyoandikwa katika Maandiko Matakatifu: «Hakuna hata mtu mmoja mwenye haki! 11 Hakuna mtu mwenye ufahamu, hakuna mwenye kushugulika na Mungu. 12 Wote wamepotea, wote kwa jumla wamepotoka. Hakuna mwenye kufanya mema, hata mmoja.
|
|
@ -67,6 +67,9 @@
|
|||
"02-25",
|
||||
"02-28",
|
||||
"03-title",
|
||||
"03-01"
|
||||
"03-01",
|
||||
"03-03",
|
||||
"03-05",
|
||||
"03-07"
|
||||
]
|
||||
}
|
Loading…
Reference in New Issue