Mon Oct 12 2020 14:59:45 GMT+0100 (Afr. centrale Ouest)
This commit is contained in:
parent
7729ab5ac4
commit
1b5e99f9ae
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v33 Ni nani anayeweza kuwashitaki watu ambao Mungu alijichagulia? Hakuna hata mmoja! Mungu peke yake amewahesabia haki mbele yake. \v34 Ni nani anayeweza basi kuwahukumu? Hakuna hata mmoja! Maana Yesu Kristo ndiye aliyekufa, na zaidi ya hiyo, alifufuka, na sasa anakaa na mamlaka kwa kuume kwa Mungu, na yeye ndiye anayetuombea.
|
||||
\v 33 Ni nani anayeweza kuwashitaki watu ambao Mungu alijichagulia? Hakuna hata mmoja! Mungu peke yake amewahesabia haki mbele yake. \v 34 Ni nani anayeweza basi kuwahukumu? Hakuna hata mmoja! Maana Yesu Kristo ndiye aliyekufa, na zaidi ya hiyo, alifufuka, na sasa anakaa na mamlaka kwa kuume kwa Mungu, na yeye ndiye anayetuombea.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 35 Ni nani anayeweza kututenga na upendo wa Kristo? Ni taabu, au huzuni, au mateso, au njaa, au ukosefu wa nguo, au hatari, au kifo? \v 36 Kama vile Maandiko Matakatifu yanavyosema: «Kwa sababu yako tunauawa kila siku. Tunahesabiwa kama kondoo wa kuchinjwa.»
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 37 Lakini katika mambo haya yote tunapata ushindi kabisa kwa njia ya yule aliyetupenda. \v 38 Kwa maana ninajua hakika kwamba hakuna kitu kinachoweza kututenga na upendo wa Mungu: wala kifo, wala uzima, wala wamalaika, wala watawala, wala mambo ya sasa, wala mambo yatakayokuja, wala wenye uwezo, \v 39 wala nguvu za juu, wala nguvu za chini, wala kiumbe kingine chochote hakitaweza kututenga na upendo wa Mungu aliouonyesha kwetu kwa njia ya Kristo Yesu Bwana wetu.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
Sura 9
|
|
@ -143,6 +143,10 @@
|
|||
"08-23",
|
||||
"08-26",
|
||||
"08-28",
|
||||
"08-31"
|
||||
"08-31",
|
||||
"08-33",
|
||||
"08-35",
|
||||
"08-37",
|
||||
"09-title"
|
||||
]
|
||||
}
|
Loading…
Reference in New Issue