Mon Oct 12 2020 14:57:45 GMT+0100 (Afr. centrale Ouest)

This commit is contained in:
tsDesktop 2020-10-12 14:57:46 +01:00
parent 2a92786dce
commit 7729ab5ac4
4 changed files with 6 additions and 1 deletions

1
08/28.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 28 Tunajua kwamba katika mambo yote Mungu anatumika kwa mazuri ya wale wanaomupenda, ndio wale walioitwa naye kufuatana na kusudi lake. \v 29 Kwa maana wale Mungu aliowachagua tangu zamani, ndio aliofanya mupango juu yao tangu zamani, apate kuwafananisha na Mwana wake, kusudi Mwana wake akuwe muzaliwa wa kwanza wa wandugu wengi. \v 30 Na wale Mungu aliowachagua tangia zamani, aliwaita vilevile; nao aliowaita, akawahesabia haki, nao aliowahesabia haki, akawatukuzisha vilevile.

1
08/31.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 31 Basi kufuatana na mambo hayo, tuseme nini zaidi? Mungu akiwa upande wetu, ni nani anayeweza kupingana nasi? \v 32 Yeye hakumwacha Mwana wake wa pekee, lakini alimutoa kwa ajili yetu sisi wote. Namna gani atakosa kutupatia vilevile vitu vyote kwa njia ya mwana wake?

1
08/33.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v33 Ni nani anayeweza kuwashitaki watu ambao Mungu alijichagulia? Hakuna hata mmoja! Mungu peke yake amewahesabia haki mbele yake. \v34 Ni nani anayeweza basi kuwahukumu? Hakuna hata mmoja! Maana Yesu Kristo ndiye aliyekufa, na zaidi ya hiyo, alifufuka, na sasa anakaa na mamlaka kwa kuume kwa Mungu, na yeye ndiye anayetuombea.

View File

@ -141,6 +141,8 @@
"08-18",
"08-20",
"08-23",
"08-26"
"08-26",
"08-28",
"08-31"
]
}