From 391db755b5137111e22e3b2462291f8b5c2a6d28 Mon Sep 17 00:00:00 2001 From: tsDesktop Date: Mon, 12 Oct 2020 14:09:45 +0100 Subject: [PATCH] Mon Oct 12 2020 14:09:44 GMT+0100 (Afr. centrale Ouest) --- 03/03.txt | 3 +-- 03/05.txt | 1 + 03/07.txt | 1 + 03/09.txt | 1 + manifest.json | 5 ++++- 5 files changed, 8 insertions(+), 3 deletions(-) create mode 100644 03/05.txt create mode 100644 03/07.txt create mode 100644 03/09.txt diff --git a/03/03.txt b/03/03.txt index 6ddb541..14626bd 100644 --- a/03/03.txt +++ b/03/03.txt @@ -1,2 +1 @@ -3 Tuseme nini basi? Ikiwa wamoja kati yao hawakukuwa waaminifu, jambo hilo litaweza kuonyesha kwamba Mungu ataacha kuwa mwaminifu? 4 Hapana hata kidogo! Sherti Mungu ajulikane kuwa mwenye ukweli, na kila mtu kuwa mwongo, kama inavyoandikwa katika Maandiko Matakatifu: «Ee Mungu, sherti ujulikane kuwa mwenye haki katika masemi yako. -Nawe ushinde wakati unaposhitakiwa.» \ No newline at end of file +\v 3 Tuseme nini basi? Ikiwa wamoja kati yao hawakukuwa waaminifu, jambo hilo litaweza kuonyesha kwamba Mungu ataacha kuwa mwaminifu? \v 4 Hapana hata kidogo! Sherti Mungu ajulikane kuwa mwenye ukweli, na kila mtu kuwa mwongo, kama inavyoandikwa katika Maandiko Matakatifu: «Ee Mungu, sherti ujulikane kuwa mwenye haki katika masemi yako. Nawe ushinde wakati unaposhitakiwa.» \ No newline at end of file diff --git a/03/05.txt b/03/05.txt new file mode 100644 index 0000000..356b4b6 --- /dev/null +++ b/03/05.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 5 Lakini ikiwa kwa njia ya ubaya tunaofanya, Mungu anaonekana kuwa mwenye haki, basi tutasema kama Mungu hana haki wakati anapotuazibu? (Ninasema kwa mafikiri ya kimtu.) \v 6 Hapana hata kidogo! Ingekuwa vile, namna gani basi Mungu angeweza kuhukumu dunia? \ No newline at end of file diff --git a/03/07.txt b/03/07.txt new file mode 100644 index 0000000..835549a --- /dev/null +++ b/03/07.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 7 Lakini ikiwa kwa njia ya uongo wangu ukweli wa Mungu unaonekana naye anatukuzwa zaidi, basi kwa nini tena ninahukumiwa kama mwenye zambi? \v 8 Ikiwa ni vile, basi tuseme: «Tufanye mabaya kusudi kutokee mema?» Hakika kuna watu wamoja wanaonisingizia wakisema kwamba nimesema vile. Watu hawa wataazibiwa sawa inavyowapasa! Hakuna mwenye haki mbele ya Mungu \ No newline at end of file diff --git a/03/09.txt b/03/09.txt new file mode 100644 index 0000000..d1d7acb --- /dev/null +++ b/03/09.txt @@ -0,0 +1 @@ +9 Basi tuseme nini? Sisi Wayuda tunawapita Wagriki nini? Hatuwapiti kitu hata kimoja! Kwa maana nimekwisha kuonyesha kwamba Wayuda na watu wa mataifa mengine wote wako chini ya utawala wa zambi. 10 Ni sawa ilivyoandikwa katika Maandiko Matakatifu: «Hakuna hata mtu mmoja mwenye haki! 11 Hakuna mtu mwenye ufahamu, hakuna mwenye kushugulika na Mungu. 12 Wote wamepotea, wote kwa jumla wamepotoka. Hakuna mwenye kufanya mema, hata mmoja. \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index 069250a..6748fee 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -67,6 +67,9 @@ "02-25", "02-28", "03-title", - "03-01" + "03-01", + "03-03", + "03-05", + "03-07" ] } \ No newline at end of file