Mon Oct 12 2020 20:41:41 GMT+0100 (Afr. centrale Ouest)

This commit is contained in:
tsDesktop 2020-10-12 20:41:42 +01:00
parent 674d057a6f
commit eaf272e891
4 changed files with 7 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v17 Nami ninafurahi kwa kufika kwa Stefana, Fortunato na Akaiko; wamekuwa kwa pahali penu, 18 nao wamenifariji kama vile walivyowafariji ninyi wenyewe. Inafaa kuwakumbuka watu kama hawa.
\v 17 Nami ninafurahi kwa kufika kwa Stefana, Fortunato na Akaiko; wamekuwa kwa pahali penu, \v 18 nao wamenifariji kama vile walivyowafariji ninyi wenyewe. Inafaa kuwakumbuka watu kama hawa.

1
16/19.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 19 Makanisa ya jimbo la Azia yanawasalimia. Akila na Prisila pamoja na kanisa linalokusanyika ndani ya nyumba yao wanawasalimia sana katika Bwana. \v 20 Wandugu wote wanaokuwa hapa wanawasalimia. Na ninyi vilevile musalimiane kwa upendo wa kikristo.

1
16/21.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 21 Hii ni salamu ninayoiandika kwa mukono wangu mimi Paulo mwenyewe. \v 22 Kama mtu hamupendi Bwana, alaaniwe! Bwana wetu, kujaa! \v 23 Neema ya Bwana Yesu ikuwe pamoja nanyi. \v 24 Ninawapenda ninyi wote katika kuungana na Yesu Kristo.

View File

@ -228,6 +228,9 @@
"16-07",
"16-10",
"16-13",
"16-15"
"16-15",
"16-17",
"16-19",
"16-21"
]
}