diff --git a/16/17.txt b/16/17.txt index cd907f3..b72cc02 100644 --- a/16/17.txt +++ b/16/17.txt @@ -1 +1 @@ -\v17 Nami ninafurahi kwa kufika kwa Stefana, Fortunato na Akaiko; wamekuwa kwa pahali penu, 18 nao wamenifariji kama vile walivyowafariji ninyi wenyewe. Inafaa kuwakumbuka watu kama hawa. +\v 17 Nami ninafurahi kwa kufika kwa Stefana, Fortunato na Akaiko; wamekuwa kwa pahali penu, \v 18 nao wamenifariji kama vile walivyowafariji ninyi wenyewe. Inafaa kuwakumbuka watu kama hawa. \ No newline at end of file diff --git a/16/19.txt b/16/19.txt new file mode 100644 index 0000000..a78a0a0 --- /dev/null +++ b/16/19.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 19 Makanisa ya jimbo la Azia yanawasalimia. Akila na Prisila pamoja na kanisa linalokusanyika ndani ya nyumba yao wanawasalimia sana katika Bwana. \v 20 Wandugu wote wanaokuwa hapa wanawasalimia. Na ninyi vilevile musalimiane kwa upendo wa kikristo. \ No newline at end of file diff --git a/16/21.txt b/16/21.txt new file mode 100644 index 0000000..fdee0ed --- /dev/null +++ b/16/21.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 21 Hii ni salamu ninayoiandika kwa mukono wangu mimi Paulo mwenyewe. \v 22 Kama mtu hamupendi Bwana, alaaniwe! Bwana wetu, kujaa! \v 23 Neema ya Bwana Yesu ikuwe pamoja nanyi. \v 24 Ninawapenda ninyi wote katika kuungana na Yesu Kristo. \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index 1c3a022..401f322 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -228,6 +228,9 @@ "16-07", "16-10", "16-13", - "16-15" + "16-15", + "16-17", + "16-19", + "16-21" ] } \ No newline at end of file