Mon Oct 12 2020 19:40:11 GMT+0100 (Afr. centrale Ouest)

This commit is contained in:
tsDesktop 2020-10-12 19:40:12 +01:00
parent 56f6fddf3b
commit df03ddcc33
4 changed files with 6 additions and 1 deletions

1
12/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\c 12 \v 1 Sasa tuangalie mambo yanayoelekea zawadi za Roho Mtakatifu. Wandugu zangu, sitaki mukose kufahamu ukweli wa zawadi hizi. \v 2 Munajua kwamba wakati mulipokuwa wapagani, mulikuwa mukivutwa na kupotoshwa na sanamu zisizosema. \v 3 Kwa sababu hii ninataka mufahamu kwamba hakuna mtu ambaye anaongozwa na Roho wa Mungu anayeweza kusema: «Yesu alaaniwe, na hakuna mtu anayeweza kusema: “Yesu ni Bwana,”» kama asipoongozwa na Roho Mtakatifu.

1
12/04.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 4 Kuna zawadi mbalimbali, lakini ni Roho mmoja anayezitoa. \v 5 Kuna utumishi wa namna mbalimbali, lakini ni Bwana mmoja ndiye wanayemutumikia. \v 6 Kuna kazi za namna mbalimbali, lakini Mungu ni mmoja anayewezesha watu wote kuzitimiza.

1
12/07.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
7 Na kwa kila mtu Roho anajifunua kwa faida ya wote. 8 Basi mtu mmoja anapewa na Roho uwezo wa kusema maneno ya hekima, na mwingine uwezo wa kusema maneno ya ufahamu na Roho yule yule.

View File

@ -160,6 +160,8 @@
"11-27",
"11-31",
"11-33",
"12-title"
"12-title",
"12-01",
"12-04"
]
}