Sun Oct 11 2020 20:34:15 GMT+0100 (Afr. centrale Ouest)

This commit is contained in:
tsDesktop 2020-10-11 20:34:15 +01:00
parent 205622cb18
commit 5ae6381165
4 changed files with 6 additions and 1 deletions

1
04/14.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 14 Siwaandikii maneno haya kwa kuwapatisha haya, lakini kwa kuwaonya kama watoto wangu wapendwa. \v 15 Hivi kuelekea maisha yenu na Kristo, hata mukiwa na walezi maelfu muko tu na baba mmoja. Kwa maana kuelekea maisha yenu na Yesu Kristo ni mimi niliyewazaa kwa njia ya kuwatangazia Habari Njema. \v 16 Basi ninawasihi, mufuate mufano wangu.

1
04/17.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 17 Ni kwa sababu hii ninawatumia ninyi Timoteo. Yeye ni mwana wangu mupendwa na mwaminifu mbele ya Bwana. Atawakumbusha kanuni ninazofuata katika maisha yangu na Yesu Kristo, nami ninazofundisha fasi zote katika makanisa yote. \v 18 Watu wamoja kati yenu wanajivuna wakifikiri kwamba sitakuja kuwaona.

1
04/19.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v19 Lakini nitakuja kwenu upesi Bwana akitaka. Basi pale nitajua maneno ya wale wanaojivuna na kujionea uwezo wao vilevile! 20 Kwa maana kazi ya Ufalme wa Mungu haionyeshwi kwa njia ya kusema tu, lakini vilevile kwa njia ya matendo ya uwezo. 21 Basi munataka nini? Nifike kule kwenu, nikikuja na fimbo au na moyo unaojaa upendo na upole?

View File

@ -78,6 +78,8 @@
"04-06",
"04-08",
"04-10",
"04-12"
"04-12",
"04-14",
"04-17"
]
}