diff --git a/04/14.txt b/04/14.txt new file mode 100644 index 0000000..e8582ab --- /dev/null +++ b/04/14.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 14 Siwaandikii maneno haya kwa kuwapatisha haya, lakini kwa kuwaonya kama watoto wangu wapendwa. \v 15 Hivi kuelekea maisha yenu na Kristo, hata mukiwa na walezi maelfu muko tu na baba mmoja. Kwa maana kuelekea maisha yenu na Yesu Kristo ni mimi niliyewazaa kwa njia ya kuwatangazia Habari Njema. \v 16 Basi ninawasihi, mufuate mufano wangu. \ No newline at end of file diff --git a/04/17.txt b/04/17.txt new file mode 100644 index 0000000..7d79e31 --- /dev/null +++ b/04/17.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 17 Ni kwa sababu hii ninawatumia ninyi Timoteo. Yeye ni mwana wangu mupendwa na mwaminifu mbele ya Bwana. Atawakumbusha kanuni ninazofuata katika maisha yangu na Yesu Kristo, nami ninazofundisha fasi zote katika makanisa yote. \v 18 Watu wamoja kati yenu wanajivuna wakifikiri kwamba sitakuja kuwaona. \ No newline at end of file diff --git a/04/19.txt b/04/19.txt new file mode 100644 index 0000000..544b88a --- /dev/null +++ b/04/19.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v19 Lakini nitakuja kwenu upesi Bwana akitaka. Basi pale nitajua maneno ya wale wanaojivuna na kujionea uwezo wao vilevile! 20 Kwa maana kazi ya Ufalme wa Mungu haionyeshwi kwa njia ya kusema tu, lakini vilevile kwa njia ya matendo ya uwezo. 21 Basi munataka nini? Nifike kule kwenu, nikikuja na fimbo au na moyo unaojaa upendo na upole? \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index 428cb30..b17f462 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -78,6 +78,8 @@ "04-06", "04-08", "04-10", - "04-12" + "04-12", + "04-14", + "04-17" ] } \ No newline at end of file