Mon Oct 12 2020 20:06:11 GMT+0100 (Afr. centrale Ouest)

This commit is contained in:
tsDesktop 2020-10-12 20:06:12 +01:00
parent 59ec9cfe14
commit 057dd80588
6 changed files with 11 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v31 Kwa maana ninyi wote munaweza kutabiri mmoja kwa mmoja, kusudi wote wapate kufundishwa na kutiwa moyo. \v32 Moyo ya unabii inapaswa kuwa chini ya utawala wa yule aliyeipewa, \v33 kwa maana Mungu hataki sisi tuishi katika fujo, lakini katika amani. Sawa vile inavyokuwa desturi katika makanisa yote ya watu wa Mungu, \v 31 Kwa maana ninyi wote munaweza kutabiri mmoja kwa mmoja, kusudi wote wapate kufundishwa na kutiwa moyo. \v 32 Moyo ya unabii inapaswa kuwa chini ya utawala wa yule aliyeipewa, \v 33 kwa maana Mungu hataki sisi tuishi katika fujo, lakini katika amani. Sawa vile inavyokuwa desturi katika makanisa yote ya watu wa Mungu,

1
14/34.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 34 wanawake wanapaswa kukaa kimya katika mikutano ya kanisa. Wao hawaruhusiwi kusema katika kanisa, lakini wanapaswa kutii sawa vile Sheria inavyosema. \v 35 Kama wakiwa na neno la kuuliza, waulize waume wao kwenye nyumba zao. Ni haya kwa mwanamuke kusema katika mkutano wa kanisa. \v 36 Munazani kwamba Neno la Mungu limetoka kwenu au limewafikia ninyi peke yenu tu?

1
14/37.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 37 Kama mtu akizani kwamba yuko na zawadi ya unabii au zawadi ingine ya Roho, anapaswa kujua kwamba maneno haya ninayowaandikia ninyi ni amri ya Bwana. \v 38 Lakini kama yeye hajui vile, basi mtu asishugulike naye.

1
14/39.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 39 Kwa hiyo wandugu zangu, mutamani sana kupata zawadi ya kutabiri, nanyi musiwazuize watu kusema kwa luga za ajabu. \v 40 Lakini maneno yote yatendeke katika usawa na katika utaratibu.

1
15/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
sura 15

View File

@ -189,6 +189,11 @@
"14-22", "14-22",
"14-24", "14-24",
"14-26", "14-26",
"14-29" "14-29",
"14-31",
"14-34",
"14-37",
"14-39",
"15-title"
] ]
} }