diff --git a/14/31.txt b/14/31.txt index c770e9f..aaabd3d 100644 --- a/14/31.txt +++ b/14/31.txt @@ -1 +1 @@ -\v31 Kwa maana ninyi wote munaweza kutabiri mmoja kwa mmoja, kusudi wote wapate kufundishwa na kutiwa moyo. \v32 Moyo ya unabii inapaswa kuwa chini ya utawala wa yule aliyeipewa, \v33 kwa maana Mungu hataki sisi tuishi katika fujo, lakini katika amani. Sawa vile inavyokuwa desturi katika makanisa yote ya watu wa Mungu, \ No newline at end of file +\v 31 Kwa maana ninyi wote munaweza kutabiri mmoja kwa mmoja, kusudi wote wapate kufundishwa na kutiwa moyo. \v 32 Moyo ya unabii inapaswa kuwa chini ya utawala wa yule aliyeipewa, \v 33 kwa maana Mungu hataki sisi tuishi katika fujo, lakini katika amani. Sawa vile inavyokuwa desturi katika makanisa yote ya watu wa Mungu, \ No newline at end of file diff --git a/14/34.txt b/14/34.txt new file mode 100644 index 0000000..c8675db --- /dev/null +++ b/14/34.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 34 wanawake wanapaswa kukaa kimya katika mikutano ya kanisa. Wao hawaruhusiwi kusema katika kanisa, lakini wanapaswa kutii sawa vile Sheria inavyosema. \v 35 Kama wakiwa na neno la kuuliza, waulize waume wao kwenye nyumba zao. Ni haya kwa mwanamuke kusema katika mkutano wa kanisa. \v 36 Munazani kwamba Neno la Mungu limetoka kwenu au limewafikia ninyi peke yenu tu? \ No newline at end of file diff --git a/14/37.txt b/14/37.txt new file mode 100644 index 0000000..2fcd458 --- /dev/null +++ b/14/37.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 37 Kama mtu akizani kwamba yuko na zawadi ya unabii au zawadi ingine ya Roho, anapaswa kujua kwamba maneno haya ninayowaandikia ninyi ni amri ya Bwana. \v 38 Lakini kama yeye hajui vile, basi mtu asishugulike naye. \ No newline at end of file diff --git a/14/39.txt b/14/39.txt new file mode 100644 index 0000000..59cadc5 --- /dev/null +++ b/14/39.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 39 Kwa hiyo wandugu zangu, mutamani sana kupata zawadi ya kutabiri, nanyi musiwazuize watu kusema kwa luga za ajabu. \v 40 Lakini maneno yote yatendeke katika usawa na katika utaratibu. \ No newline at end of file diff --git a/15/title.txt b/15/title.txt new file mode 100644 index 0000000..c61b64a --- /dev/null +++ b/15/title.txt @@ -0,0 +1 @@ +sura 15 \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index ae2e5b8..3243560 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -189,6 +189,11 @@ "14-22", "14-24", "14-26", - "14-29" + "14-29", + "14-31", + "14-34", + "14-37", + "14-39", + "15-title" ] } \ No newline at end of file