swc_1co_text_reg/16/19.txt

1 line
252 B
Plaintext
Raw Permalink Normal View History

\v 19 Makanisa ya jimbo la Azia yanawasalimia. Akila na Prisila pamoja na kanisa linalokusanyika ndani ya nyumba yao wanawasalimia sana katika Bwana. \v 20 Wandugu wote wanaokuwa hapa wanawasalimia. Na ninyi vilevile musalimiane kwa upendo wa kikristo.