gmx_rom_text_reg/09/25.txt

1 line
232 B
Plaintext

\v 25 Kama asemavyo pia katika Hosea: "Nitawaita watu wangu ambao hawakuwa watu wangu, na mpendwa wake ambaye hakupendwa. \v 26 Na itakuwa kwamba pale iliposemwa kwao, 'Ninyi si watu wangu,' pale wataitwa 'wana wa Mungu aliye hai."'