swc_rom_text_reg/03/29.txt

1 line
293 B
Plaintext

\v 29 Au Mungu ni Mungu wa Wayuda tu? Yeye si Mungu wa watu wa mataifa mengine vilevile? Ndiyo, yeye ni Mungu wa watu wa mataifa mengine vilevile, \v 30 kwa sababu kuna Mungu mmoja tu. Na ni yeye atakayewahesabia waliotahiriwa na wasiotahiriwa haki mbele yake kwa njia ya imani ya kila wamoja.