\v 11 Hakuna mtu mwenye ufahamu, hakuna mwenye kushugulika na Mungu. \v 12 Wote wamepotea, wote kwa jumla wamepotoka. Hakuna mwenye kufanya mema, hata mmoja.