swc_rom_text_reg/02/10.txt

1 line
326 B
Plaintext

\v 10 Lakini kila mtu anayefanya mema atapata utukufu, heshima na amani; kwanza Wayuda, kisha Wagriki vilevile. \v 11 Kwa maana Mungu hana upendeleo. \v 12 Wote wanaofanya zambi pasipo kujua Sheria ya Musa watapotea pasipo kuhukumiwa na Sheria ile. Lakini wote wanaofanya zambi wakijua Sheria watahukumiwa kufuatana na Sheria.