swc_rom_text_reg/09/30.txt

1 line
285 B
Plaintext

\v 30 Basi tuseme nini? Watu wa mataifa mengine waliokosa kutafuta kuhesabiwa haki mbele ya Mungu wamehesabiwa haki mbele yake kwa njia ya imani. \v 31 Na kwa ngambo ingine, Waisraeli waliokuwa wakitafuta Sheria kusudi kwa njia yake wapate kuhesabiwa haki mbele ya Mungu, hawakuifikia.