\c 9 \v 1 Ninasema ukweli kwa kuungana na Kristo. Na kwa uongozi wa Roho Mtakatifu zamiri yangu inanihakikishia kwamba sisemi uongo: \v 2 mimi nina huzuni kubwa na uchungu usiokuwa na mwisho ndani ya moyo wangu.