swc_rom_text_reg/04/23.txt

1 line
324 B
Plaintext

\v 23 Lakini maneno hayo alihesabiwa kuwa mwenye haki» hayakuandikwa kwa ajili yake yeye mwenyewe, \v 24 lakini vilevile kwa ajili yetu sisi tutakaohesabiwa haki. Ndio sisi tunaomwamini yule aliyemufufua Yesu Bwana wetu. \v 25 Alitolewa kufa sababu ya makosa yetu na kufufuliwa kusudi tupate kuhesabiwa haki mbele ya Mungu.