swc_rom_text_reg/04/04.txt

1 line
226 B
Plaintext

\v 4 Mtu anayefanya kazi, mushahara wake hauhesabiwi kama zawadi, lakini ni haki yake. \v 5 Lakini mtu asipotegemea matendo yake mwenyewe, naye akimwamini Mungu anayemuhesabia mwovu haki, basi imani yake inahesabiwa kuwa haki.