Mon Oct 12 2020 14:15:45 GMT+0100 (Afr. centrale Ouest)
This commit is contained in:
parent
3c2a19bab5
commit
fbce0b55f3
|
@ -1 +1 @@
|
|||
25 Kristo alitolewa na Mungu kuwa sadaka ya usamehe wa zambi kwa njia ya damu yake kwa ajili ya wenye kumwamini. Mungu alifanya hivi kwa kuonyesha haki yake. 26Zamani, katika uvumilivu wake, aliacha kuazibu zambi za watu. Lakini kwa wakati wa sasa anaonyesha haki yake kusudi akuwe mwenye haki na kumuhesabia haki kila mtu anayemwamini Yesu.
|
||||
\v 25 Kristo alitolewa na Mungu kuwa sadaka ya usamehe wa zambi kwa njia ya damu yake kwa ajili ya wenye kumwamini. Mungu alifanya hivi kwa kuonyesha haki yake. \v 26 Zamani, katika uvumilivu wake, aliacha kuazibu zambi za watu. Lakini kwa wakati wa sasa anaonyesha haki yake kusudi akuwe mwenye haki na kumuhesabia haki kila mtu anayemwamini Yesu.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 27 Basi sasa mtu ataweza kujivuna? Hapana! Kwa sababu gani? Kwa sababu anatii Sheria? Hapana. Lakini kwa sababu anamwamini Yesu. \v 28 Kwa maana tunaona kama mtu anahesabiwa haki mbele ya Mungu kwa njia ya imani wala si kwa njia ya kutii Sheria.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 29 Au Mungu ni Mungu wa Wayuda tu? Yeye si Mungu wa watu wa mataifa mengine vilevile? Ndiyo, yeye ni Mungu wa watu wa mataifa mengine vilevile, \v 30 kwa sababu kuna Mungu mmoja tu. Na ni yeye atakayewahesabia waliotahiriwa na wasiotahiriwa haki mbele yake kwa njia ya imani ya kila wamoja.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
31 Basi ni kusema kwa sababu ya imani ile tunaitupilia Sheria? Hapana hata kidogo! Lakini tunasimamisha Sheria.
|
|
@ -77,6 +77,9 @@
|
|||
"03-15",
|
||||
"03-19",
|
||||
"03-21",
|
||||
"03-23"
|
||||
"03-23",
|
||||
"03-25",
|
||||
"03-27",
|
||||
"03-29"
|
||||
]
|
||||
}
|
Loading…
Reference in New Issue