Mon Oct 12 2020 15:21:45 GMT+0100 (Afr. centrale Ouest)
This commit is contained in:
parent
5e4945ed09
commit
db8f20cef4
|
@ -1,2 +1 @@
|
|||
15 Kwa maana ikiwa kukataliwa kwao na Mungu kumeleta upatanisho kati yake na dunia, basi si hakika kwamba kukubaliwa kwao na Mungu kutaleta uzima kwa wale waliokufa. 16 Donge la kwanza la unga wenye kupondwa likitolewa kwa Mungu, mikate itakuwa yake vilevile. Na kama shina la muti likitolewa kwa Mungu, matawi yatakuwa yake vilevile. 17 Matawi mamoja ya muzeituni uliopandwa yamekatwa, na chipukizi la muzeituni uliojiotesha katika pori umepandikizwa kwenye nafasi yao. Na sasa unafaidia vilevile utomvu unaotoka ndani ya shina la yule muzeituni uliopandwa. 18 Basi musizarau yale matawi yaliyokatwa. Ninyi hamuna cha kujivunia, kwa maana si ninyi munaoshikilia shina, lakini ni shina linalowashikilia.
|
||||
19 Labda utaweza kuniambia: «Matawi yale yalikatwa kusudi mimi nipandikizwe kwenye nafasi yao.» 20 Unasema ukweli. Yamekatwa kwa sababu yalikataa kuamini na wewe unasimama imara katika imani yako. Sasa usijivune, lakini uogope! 21 Kwa maana ikiwa Mungu hakuachilia yale matawi ya asili kuendelea kukomaa, namna gani atakuachilia wewe?
|
||||
\v 15 Kwa maana ikiwa kukataliwa kwao na Mungu kumeleta upatanisho kati yake na dunia, basi si hakika kwamba kukubaliwa kwao na Mungu kutaleta uzima kwa wale waliokufa. \v 16 Donge la kwanza la unga wenye kupondwa likitolewa kwa Mungu, mikate itakuwa yake vilevile. Na kama shina la muti likitolewa kwa Mungu, matawi yatakuwa yake vilevile.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 17 Matawi mamoja ya muzeituni uliopandwa yamekatwa, na chipukizi la muzeituni uliojiotesha katika pori umepandikizwa kwenye nafasi yao. Na sasa unafaidia vilevile utomvu unaotoka ndani ya shina la yule muzeituni uliopandwa. \v 18 Basi musizarau yale matawi yaliyokatwa. Ninyi hamuna cha kujivunia, kwa maana si ninyi munaoshikilia shina, lakini ni shina linalowashikilia.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 19 Labda utaweza kuniambia: «Matawi yale yalikatwa kusudi mimi nipandikizwe kwenye nafasi yao.» \v 20 Unasema ukweli. Yamekatwa kwa sababu yalikataa kuamini na wewe unasimama imara katika imani yako. Sasa usijivune, lakini uogope! \v 21 Kwa maana ikiwa Mungu hakuachilia yale matawi ya asili kuendelea kukomaa, namna gani atakuachilia wewe?
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 22 Basi ufikiri juu ya wema wa Mungu na ukali wake vilevile. Yeye ni mukali kwa wale walioanguka, lakini yeye ni mwema kwako, ikiwa utaendelea katika wema wake. Kama si vile, wewe vilevile utakatwa.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
23 Na kama Wayuda wasipoendelea kukataa kuamini, watapandikizwa kwenye nafasi ile walipokuwa mbele, kwa maana Mungu yuko na uwezo wa kuwapandikiza tena. 24 Ninyi watu wa mataifa mengine ni kama tawi la muzeituni wa pori lililokatwa na kisha likapandikizwa ndani ya muzeituni uliopandwa, umbalimbali na kawaida. Wayuda ni kama muzeituni huu uliopandwa; na si neno gumu basi kwa Mungu kupandikiza tena matawi yaliyokatwa katika muti wao wenyewe. 25 Wandugu zangu, sitaki mukose kujua siri hii, kusudi musijione kuwa wenye akili sana. Siri ile ni hii: Waisraeli wamoja wataendelea kuwa wagumu mpaka watu wa mataifa mengine kwa jumla watakapokuja kwa Mungu.
|
|
@ -178,6 +178,10 @@
|
|||
"11-06",
|
||||
"11-09",
|
||||
"11-11",
|
||||
"11-13"
|
||||
"11-13",
|
||||
"11-15",
|
||||
"11-17",
|
||||
"11-19",
|
||||
"11-22"
|
||||
]
|
||||
}
|
Loading…
Reference in New Issue