From afd0fc28fd8811bd417ee6a53c4ee1ddc0a0d6f7 Mon Sep 17 00:00:00 2001 From: tsDesktop Date: Mon, 12 Oct 2020 18:10:54 +0100 Subject: [PATCH] Mon Oct 12 2020 18:10:53 GMT+0100 (Afr. centrale Ouest) --- 15/17.txt | 2 +- 15/20.txt | 1 + manifest.json | 3 ++- 3 files changed, 4 insertions(+), 2 deletions(-) create mode 100644 15/20.txt diff --git a/15/17.txt b/15/17.txt index 03b4e4d..e3d3c6c 100644 --- a/15/17.txt +++ b/15/17.txt @@ -1 +1 @@ -\v 17 \v 18 \v 19 17 Basi katika kuungana kwangu na Kristo Yesu, ninaweza kujisifu kwa ajili ya kazi hii ninayomutumikia Mungu. 18 Kwa maana sitasubutu kuongeza kitu kingine, isipokuwa tu kile Kristo alichotimiza kwa njia yangu kusudi watu wa mataifa wapate kumutii Mungu. Alifanya vile kwa njia ya yale aliyoniwezesha kusema na kutenda, 19 kwa njia ya uwezo wa vitambulisho na maajabu, na kwa uwezo wa Roho Mtakatifu. Hivi tokea Yerusalema mpaka kufika katika jimbo la Iliriko nimehubiri fasi zote Habari Njema ya Kristo. 20 Nayo nia moja niliyokuwa nayo ni kuhubiri tu Habari Njema fasi zote ambapo habari za Kristo zilipokuwa hazijasikilika bado. Nilikusudia vile kusudi nisijenge juu ya musingi uliowekwa na mtu mwingine, 21 kama vile inavyoandikwa katika Maandiko Matakatifu: «Wale ambao hawajaambiwa bado habari zake, watamwona. Wale hawajazielezwa bado, watazifahamu.» 22 Hiyo ndiyo sababu iliyonizuiza mara nyingi kufika kule kwenu. 23 Lakini kwa sasa nimemaliza kazi yangu katika pande hizi za inchi, na tena tangu miaka mingi nina hamu sana ya kuja kuwaona; 24 kwa hiyo nitawafikia nitakapokwenda Spania. Ninatumaini kupitia kule na kuonana nanyi, na kisha kufurahi kwanza pamoja nanyi kwa muda mufupi, ningetamani kupata musaada wenu kwa ajili ya safari ile. 25 Lakini sasa ninakwenda kwanza Yerusalema kuwasaidia watu wa Mungu kule. 26 Kwa maana imependeza makanisa ya Makedonia na ya Akaya kukusanya mali kwa kuwasaidia wamasikini wanaokuwa kati ya watu wa Mungu kule Yerusalema. 27 Ndiyo wamefanya vile kwa mapenzi yao, lakini vilevile ilikuwa mapaswa kwao kuwasaidia. Kwa maana ikiwa watu wa mataifa wameshirikiana baraka za kiroho na Wayuda, imewapasa watu wa mataifa mengine kuwasaidia Wayuda katika mahitaji ya kimwili. 28 Basi nitakapomaliza kazi ile na kuwafikishia mali iliyokusanywa, nitapitia kwenu, nikiwa katika safari yangu ya kwenda Spania. 29 Nami ninajua kwamba wakati nitakapokuja kwenu, nitakuja na baraka nyingi sana kutoka kwa Kristo. 30 Wandugu zangu, ninawasihi kwa ajili ya Bwana wetu Yesu Kristo na kwa ajili ya upendo unaoletwa na Roho wa Mungu, muungane nami kwa kuniombea kwa Mungu. 31 Muniombee kusudi nisipate hasara toka kwa watu wale wasioamini wanaokuwa Yudea na kusudi musaada ninaoupeleka Yerusalema upate kupokelewa vizuri kule na watu wa Mungu. 32 Na hivi Mungu akitaka, nitakuja kwenu kwa furaha, nami nitapata kutulizwa moyo kati yenu. 33 Basi Mungu anayeleta amani akuwe pamoja nanyi wote. Amina! \ No newline at end of file +\v 17 Basi katika kuungana kwangu na Kristo Yesu, ninaweza kujisifu kwa ajili ya kazi hii ninayomutumikia Mungu. \v 18 Kwa maana sitasubutu kuongeza kitu kingine, isipokuwa tu kile Kristo alichotimiza kwa njia yangu kusudi watu wa mataifa wapate kumutii Mungu. Alifanya vile kwa njia ya yale aliyoniwezesha kusema na kutenda, \v 19 kwa njia ya uwezo wa vitambulisho na maajabu, na kwa uwezo wa Roho Mtakatifu. Hivi tokea Yerusalema mpaka kufika katika jimbo la Iliriko nimehubiri fasi zote Habari Njema ya Kristo. \ No newline at end of file diff --git a/15/20.txt b/15/20.txt new file mode 100644 index 0000000..d30123e --- /dev/null +++ b/15/20.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v20 Nayo nia moja niliyokuwa nayo ni kuhubiri tu Habari Njema fasi zote ambapo habari za Kristo zilipokuwa hazijasikilika bado. Nilikusudia vile kusudi nisijenge juu ya musingi uliowekwa na mtu mwingine, 21 kama vile inavyoandikwa katika Maandiko Matakatifu: «Wale ambao hawajaambiwa bado habari zake, watamwona. Wale hawajazielezwa bado, watazifahamu.» \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index 8fccb15..b36b945 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -228,6 +228,7 @@ "15-12", "15-13", "15-14", - "15-15" + "15-15", + "15-17" ] } \ No newline at end of file