Mon Oct 12 2020 14:43:45 GMT+0100 (Afr. centrale Ouest)

This commit is contained in:
tsDesktop 2020-10-12 14:43:46 +01:00
parent 7d229f72de
commit a9318583a2
4 changed files with 8 additions and 1 deletions

1
07/15.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 15 Hakika sijui kitu ninachofanya. Kwa maana kile ninachotaka kufanya, sikifanyi; lakini kile ninachochukia, ndicho ninachofanya. \v 16 Ikiwa kile ninachofanya ndicho nisichotaka, maana yake ninakubali ya kuwa Sheria ni nzuri.

1
07/17.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 17 Basi sasa si mimi ninayekifanya, lakini ni zambi inayokaa ndani yangu. \v 18 Kwa maana ninajua kwamba hakuna kitu kizuri kinachokaa ndani yangu, ni kusema katika hali yangu ya kimwili. Ni hivi kwa sababu ninakuwa na utashi wa kufanya jambo jema, lakini sifikii kulifanya.

2
07/19.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1,2 @@
\v 19 Jambo jema ninalotaka kufanya, silifanyi, lakini jambo baya nisilotaka, ndilo ninalofanya. 20 Basi kama ninafanya kile nisichotaka kufanya, si mimi ninayekifanya, lakini ni ile zambi inayokaa ndani yangu.
21 Basi ninatambua kanuni hii: wakati ninapotaka kufanya jambo jema, mara moja ninavutwa kufanya jambo baya.

View File

@ -122,6 +122,9 @@
"07-06",
"07-07",
"07-09",
"07-11"
"07-11",
"07-13",
"07-15",
"07-17"
]
}