Mon Oct 12 2020 15:17:45 GMT+0100 (Afr. centrale Ouest)

This commit is contained in:
tsDesktop 2020-10-12 15:17:46 +01:00
parent 1797f950fd
commit a641b79dd4
4 changed files with 7 additions and 1 deletions

1
11/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\c 11 \v 1 Basi ninauliza: Mungu amewatupilia watu wake? Hapana hata kidogo! Maana kwa ngambo yangu, mimi ni Mwisraeli wa uzao wa Abrahamu, toka kabila la Benjamina. \v 2 Mungu hakuwakataa watu wake aliojichagulia tangu mbele. Munakumbuka Maandiko Matakatifu yanayosema juu ya mashitaki ya Elia mbele ya Mungu juu ya Waisraeli? Yeye alisema: \v 3 «Bwana, wamewaua manabii wako na kubomoa mazabahu zako; nami nimebaki peke yangu, nao wanatafuta kuniua.

1
11/04.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 4 Lakini Mungu alimujibu namna gani? Alimwambia: “Nimejiwekea watu elfu saba waliokataa kupiga magoti mbele ya mungu Bali.”» \v 5 Ni hivi vilevile kwa wakati huu wa sasa kunabaki wamoja ambao Mungu alichagua kwa neema yake.

1
11/06.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 6 Na ikiwa walichaguliwa kwa neema ya Mungu, si kufuatana na matendo. Ingekuwa vile, neema isingekuwa neema tena. \v 7 Nini basi? Taifa la Waisraeli halikupata kile walichokitafuta. Ni wachache tu ambao Mungu aliwachagua ndio waliokipata. Lakini wengine waliobaki, walifanywa kuwa wagumu, \v 8 kama vile ilivyoandikwa katika Maandiko Matakatifu: «Mungu ameifanya mioyo yao kuwa migumu, macho yao yasipate kuona na masikio yao yasipate kusikia, na ni hivi wanavyokuwa hata leo.

View File

@ -172,6 +172,9 @@
"10-18",
"10-19",
"10-20",
"11-title"
"11-title",
"11-01",
"11-04",
"11-06"
]
}