Mon Oct 12 2020 15:29:45 GMT+0100 (Afr. centrale Ouest)
This commit is contained in:
parent
6cba3142d0
commit
96cc4e5e0e
|
@ -1 +1 @@
|
||||||
\c 12 1 Basi wandugu zangu, kufuatana na vile Mungu alivyoonyesha huruma yake kwetu, ninawasihi mujitoe wenyewe kwake kuwa sadaka yenye uzima, takatifu na yenye kumupendeza. Hii ndiyo njia ya kweli ya kumwabudu. 2 Musifuate mwenendo wa siku hizi, lakini muache Mungu awabadilishe kwa kugeuza upya nia zenu, hata mukuwe na mawazo mapya. Kwa hiyo mutaweza kutambua mapenzi ya Mungu. Mutajua mambo gani yanayokuwa mema, yanayomupendeza Mungu na yanayokuwa makamilifu. 3 Kufuatana na neema niliyopewa na Mungu, ninawaambia ninyi wote: mtu asijiwazie kuwa na ukubwa kupita vile inavyomustahili. Lakini mukuwe na mawazo ya ukadirifu, kila mmoja kulingana na kipimo cha imani aliyopewa na Mungu. 4 Katika mwili mmoja kuna viungo vingi, lakini viungo hivi vyote havina kazi moja. 5 Hivi vilevile, sisi tunaokuwa wengi tumekuwa mwili mmoja katika kuungana kwetu na Kristo, na sisi wote ni viungo kila mmoja kwa mwingine. 6 Tuko na zawadi mbalimbali kwa kadiri ya neema tuliyopewa na Mungu. Aliyepewa zawadi ya unabii, anapaswa kutabiri kwa kadiri ya imani yake. 7 Aliyepewa zawadi ya utumishi, atumike. Aliyepewa zawadi ya kufundisha, afundishe. 8 Aliyepewa zawadi ya kuonya wengine, awaonye. Aliyepewa zawadi ya kutoa, atoe kwa moyo mweupe. Anayesimamia wengine, awasimamie kwa bidii. Aliyepewa zawadi ya kuhurumia wengine, afanye vile kwa furaha.
|
\c 12 \v 1 Basi wandugu zangu, kufuatana na vile Mungu alivyoonyesha huruma yake kwetu, ninawasihi mujitoe wenyewe kwake kuwa sadaka yenye uzima, takatifu na yenye kumupendeza. Hii ndiyo njia ya kweli ya kumwabudu. ` \v 2 Musifuate mwenendo wa siku hizi, lakini muache Mungu awabadilishe kwa kugeuza upya nia zenu, hata mukuwe na mawazo mapya. Kwa hiyo mutaweza kutambua mapenzi ya Mungu.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
||||||
|
\v 3 Kufuatana na neema niliyopewa na Mungu, ninawaambia ninyi wote: mtu asijiwazie kuwa na ukubwa kupita vile inavyomustahili. Lakini mukuwe na mawazo ya ukadirifu, kila mmoja kulingana na kipimo cha imani aliyopewa na Mungu.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
||||||
|
\v 4 Katika mwili mmoja kuna viungo vingi, lakini viungo hivi vyote havina kazi moja. \v 5 Hivi vilevile, sisi tunaokuwa wengi tumekuwa mwili mmoja katika kuungana kwetu na Kristo, na sisi wote ni viungo kila mmoja kwa mwingine.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
||||||
|
\v 6 Tuko na zawadi mbalimbali kwa kadiri ya neema tuliyopewa na Mungu. Aliyepewa zawadi ya unabii, anapaswa kutabiri kwa kadiri ya imani yake. 7 Aliyepewa zawadi ya utumishi, atumike. Aliyepewa zawadi ya kufundisha, afundishe. 8 Aliyepewa zawadi ya kuonya wengine, awaonye. Aliyepewa zawadi ya kutoa, atoe kwa moyo mweupe. Anayesimamia wengine, awasimamie kwa bidii. Aliyepewa zawadi ya kuhurumia wengine, afanye vile kwa furaha.
|
|
@ -190,6 +190,9 @@
|
||||||
"11-30",
|
"11-30",
|
||||||
"11-33",
|
"11-33",
|
||||||
"11-35",
|
"11-35",
|
||||||
"12-title"
|
"12-title",
|
||||||
|
"12-01",
|
||||||
|
"12-03",
|
||||||
|
"12-04"
|
||||||
]
|
]
|
||||||
}
|
}
|
Loading…
Reference in New Issue