Mon Oct 12 2020 18:22:53 GMT+0100 (Afr. centrale Ouest)
This commit is contained in:
parent
3b0cc730b3
commit
3cf788a261
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\c 16 \v 1 Ninawatumia dada yetu mwamini Foibe, anayekuwa musaidizi wa kanisa la Kenkurea. \v 2 Mumupokee kwa ajili ya Bwana, kama vile watu wa Mungu wanavyopaswa kufanya. Mumusaidie katika kila jambo atakalohitaji toka kwenu, maana yeye amewasaidia watu wengi na hata mimi peke yangu vilevile nimeshuhudia.
|
|
@ -0,0 +1,2 @@
|
|||
3 Munisalimie Prisila na Akila, watumishi wenzangu katika kazi ya Yesu Kristo. 4 Wao walijitolea kufa kwa kuokoa maisha yangu. Ninawashukuru, wala si mimi peke yangu tu, nayo makanisa yote ya inchi za watu wa mataifa wanawashukuru vilevile. 5 Munisalimie vilevile kanisa linalokusanyika katika nyumba yao. Munisalimie mupendwa wangu Epeneto, anayekuwa mwamini wa kwanza wa Kristo katika jimbo la Azia.
|
||||
|
|
@ -1 +1 @@
|
|||
Su
|
||||
Sura 16
|
|
@ -236,6 +236,8 @@
|
|||
"15-26",
|
||||
"15-28",
|
||||
"15-30",
|
||||
"15-33"
|
||||
"15-33",
|
||||
"16-title",
|
||||
"16-01"
|
||||
]
|
||||
}
|
Loading…
Reference in New Issue