Mon Oct 12 2020 18:28:53 GMT+0100 (Afr. centrale Ouest)
This commit is contained in:
parent
e4a19d0658
commit
0d3ef4014c
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\2 Munisalimie Tirifena na Tirifosa, wale wanawake wanaomushugulikia Bwana, na mupendwa wangu Persi, aliyemushugulikia sana Bwana. 13 Munisalimie Rufo, mtumishi hodari katika kazi ya Bwana, na mama yake ninayemuhesabu kama mama yangu vilevile. 14 Munisalimie Asinkristo, Fulego, Herme, Patroba, Herma, na wandugu wanaoshiriki pamoja nao.
|
||||
\v 12 Munisalimie Tirifena na Tirifosa, wale wanawake wanaomushugulikia Bwana, na mupendwa wangu Persi, aliyemushugulikia sana Bwana. \v 13 Munisalimie Rufo, mtumishi hodari katika kazi ya Bwana, na mama yake ninayemuhesabu kama mama yangu vilevile. \v 14 Munisalimie Asinkristo, Fulego, Herme, Patroba, Herma, na wandugu wanaoshiriki pamoja nao.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 15 Munisalimie Filologo na Yulia, Nereo na dada yake, na Olimpa, na watu wote wa Mungu wanaoshiriki pamoja nao. \v 16 Musalimiane kwa upendo wa kikristo. Makanisa yote ya Kristo yanawasalimia.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 17 Wandugu zangu, ninawasihi, mufanye angalisho na wale wanaoleta matengano na mambo ya kuwapotosha wengine wakipinga mafundisho muliyopokea. Mujitenge mbali nao. \v 18 Kwa maana watu wa namna hii hawamutumikii Bwana wetu Yesu Kristo, lakini wanatumikia tu tumbo yao wenyewe. Tena kwa maneno yao matamu na ya kujipendekeza wanadanganya mioyo isiokuwa na makosa.
|
|
@ -0,0 +1,5 @@
|
|||
19 Watu wote wanajua namna munavyomutii Bwana, na kwa sababu hii ninafurahi kwa ajili yenu. Lakini ninataka mukuwe wenye hekima kwa kutenda mema, na mukuwe safi mukijitenga na mambo mabaya. 20 Mungu, anayeleta amani, atamupondaponda sasa hivi Shetani chini ya miguu yenu.
|
||||
Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo ikuwe pamoja nanyi.
|
||||
21 Timoteo, mtumishi mwenzangu anawasalimia, nao Lukio, Yasoni, na Sosipateri, wanainchi wenzangu wanawasalimia vilevile. 22 Mimi Tertio, niliyeandika barua hii, ninawasalimia kwa jina la Bwana.
|
||||
23 Gayo, aliyenikaribisha na anayekaribisha kanisa zima kwa kukusanyika kwake, anawasalimia. Erasto, mulinzi wa mali ya mji, pamoja na ndugu yetu Kwarto, wanawasalimia. [24 Tunawatakia ninyi wote neema kutoka kwa Bwana wetu Yesu Kristo. Amina.] 25 Mungu asifiwe! Yeye yuko na uwezo wa kuwaimarisha katika imani juu ya Habari Njema ninayotangaza kwa kuhubiri ujumbe juu ya Yesu Kristo, kufuatana na ufunuo wa siri iliyofichwa tangia zamani za kale na kale. 26 Lakini sasa yamefunuliwa na maandiko ya manabii kufuatana na amri ya Mungu wa milele, kusudi mataifa yote yapate kumwamini na kumutii.
|
||||
27 Basi Mungu anayekuwa peke yake mwenye hekima atukuzwe milele na milele kwa njia ya Yesu Kristo! Amina.
|
|
@ -241,6 +241,9 @@
|
|||
"16-01",
|
||||
"16-03",
|
||||
"16-06",
|
||||
"16-09"
|
||||
"16-09",
|
||||
"16-12",
|
||||
"16-15",
|
||||
"16-17"
|
||||
]
|
||||
}
|
Loading…
Reference in New Issue