swc_rom_text_reg/09/14.txt

1 line
296 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 14 Basi tuseme nini? Mungu hafuati haki? Hapana hata kidogo! \v 15 Kwa maana anamwambia Musa: “Nitamuhurumia yule ninayependa kumuhurumia; nitamurehemu yule ninayependa kumurehemu.” \v 16 Basi mambo hayo, hayatokani na mapenzi ya mtu wala juhudi yake, lakini yanatokana na rehema ya Mungu.