swc_luk_text_reg_Uncomplete/18/18.txt

1 line
353 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 18 Kiongozi moja aka uliza:« mwalimu mwema ni fanye nini juu ni nizi uzima wa mitele?» . \v 19 Yesu aka jibu:« kwanini kumita mzuri? hakana mwema ila Mungu pekee. \v 20 una juwa amri: usifanye usharati, usi uwe, usi ibe; usi semeye mutu bongo, heshimiya baba na mama yako.» \v 21 Kiongozi aka sema ninaheshinuya bitu yote hui tangiya ujana wangu.