Sun Oct 11 2020 20:18:42 GMT+0100 (Afr. centrale Ouest)
This commit is contained in:
parent
630fb6084b
commit
d121b025f0
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 3 Ushiriki katika mateso kama vile askari mwema wa Kristo Yesu. \v 4 Askari anapokuwa katika vita, hapaswi kushugulika na mambo ya kawaida ya maisha ya wakaaji kama anataka kumupendeza mkubwa wa kundi lake. \v 5 Vilevile mtu yeyote anayeshindana katika michezo hawezi kupata zawadi ya ushindi kama asipotii kanuni za michezo.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 6 Tena mulimaji anayetumika kazi ngumu ndiye anayepaswa kupata sehemu ya kwanza ya mavuno. \v 7 Ufikiri juu ya maneno hayo ninayosema, kwa maana Bwana atakupa uwezo kwa kuyaelewa yote.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 8 Umukumbuke Yesu Kristo aliyekuwa wa ukoo wa mfalme Daudi, na aliyefufuka sawa vile inavyotangazwa na Habari Njema hii ninayohubiri. 9 \v 9 Mimi ninateswa na kufungwa sawa mutenda maovu kwa sababu ninahubiri Habari Njema hii. Lakini Neno la Mungu halifungwi. 10 \v 10 Ni kwa hiyo ninavumilia mambo yote kwa ajili ya watu ambao Mungu alijichagulia kuwa wake, kusudi wao vilevile wapate kuokoka na kupata utukufu wa milele unaopatikana kwa njia ya Kristo Yesu.
|
|
@ -45,6 +45,8 @@
|
|||
"01-12",
|
||||
"01-15",
|
||||
"02-01",
|
||||
"02-03",
|
||||
"02-06",
|
||||
"03-title",
|
||||
"03-01",
|
||||
"03-05",
|
||||
|
|
Loading…
Reference in New Issue