Sun Oct 11 2020 20:26:43 GMT+0100 (Afr. centrale Ouest)

This commit is contained in:
tsDesktop 2020-10-11 20:26:44 +01:00
parent 9d160219ee
commit 08a0d2ba2b
3 changed files with 4 additions and 0 deletions

1
02/22.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 22 Ujiepushe na tamaa za ujana, utafute kuishi katika haki, imani, upendo na amani pamoja na watu wote wanaomwabudu Bwana kwa moyo safi. \v 23 Ukatae mabishano ya kipumbafu na yasiyokuwa na maana; unajua wewe mwenyewe kwamba yanaleta magomvi.

1
02/24.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 24 Basi, mtumishi wa Bwana hapaswi kugombana. Anapaswa kuwa mupole kwa watu wote, anayejua kufundisha na muvumilivu. \v 25 Anapaswa kuwaonya kwa upole wale wanaopingana naye; kwa maana labda Mungu anaweza kuwajalia hata wapate kugeuka toka zambi na kutambua ukweli. \v 26 Kwa njia hiyo wanaweza tena kupata ufahamu na kuponyoka katika mitego ya Shetani, aliyewanasa na kuwafanya watimize mapenzi yake.

View File

@ -52,6 +52,8 @@
"02-14",
"02-16",
"02-19",
"02-22",
"02-24",
"03-title",
"03-01",
"03-05",