swc_2ti_text_reg/02/16.txt

1 line
370 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 16 Uepuke masemi yasiyokuwa na maana na ya kidunia, kwa maana wale wanaoyafuata wanazidi kupotoka katika ibada ya uongo. \v 17 Maneno yao yanaambukiza kama vile kidonda chenye kuoza kinavyoharibu mwili wote. Kati yao kuna Himeneo na Fileto. \v 18 Hao wamepotoka mbali na ukweli, wamepotosha imani ya watu wengi wakisema kwamba ufufuko tunaongojea umekwisha kufanyika.