swc_1co_text_reg/01/04.txt

1 line
340 B
Plaintext

\v 4 Ninamushukuru Mungu wangu siku zote kwa ajili yenu, kwa sababu ya neema Mungu aliyowapa ninyi kwa njia ya Yesu Kristo. \v 5 Kwa maana katika kuungana kwenu na Kristo, mumejaliwa katika vitu vyote, zaidi sana katika mambo yanayoelekea masemi na ufahamu. \v 6 Ile inatokana na vile ujumbe juu ya Kristo umehakikishwa kwa nguvu kati yenu,