swc_1co_text_reg/07/25.txt

1 line
311 B
Plaintext

\v 25 Kuelekea wale ambao hawajaoa wala kuolewa, sina neno la kuwaamuru kutoka kwa Bwana. Lakini nitawatolea shauri kufuatana na vile ninavyokuwa mtu anayestahili kuaminiwa, kutokana na neema niliyopewa na Bwana. \v 26 Kwa sababu ya taabu ya siku hizi, ninafikiri kwamba ni vizuri mtu akae sawa vile anavyokuwa.