swc_1co_text_reg/14/24.txt

1 line
339 B
Plaintext

\v 24 Lakini kama wote wakitabiri, na kama mtu mmoja asiyeamini au asiyeelewa kitu anaingia, atapata uhakikisho kutokana na maneno ya hao wote. Naye atahukumiwa kufuatana na yote aliyosikia na \v 25 kufichuliwa waziwazi mawazo yake aliyoficha. Na hivi atainama uso mpaka chini na kumwabudu Mungu, akisema: «Kweli Mungu ni katikati yenu!»