swc_1co_text_reg/03/14.txt

1 line
258 B
Plaintext

\v 14 Na ikiwa kile mtu alichojenga juu ya musingi huu hakiungui na moto, mtu yule atapokea zawadi. \v 15 Lakini kama kile alichojenga kikiungua, yeye atakosa zawadi, hata hivi yeye mwenyewe ataokolewa, lakini itakuwa kama vile ameopolewa toka ndani ya moto.