From f68b61f1f8f3a897e6b831399eb866437e133af0 Mon Sep 17 00:00:00 2001 From: tsDesktop Date: Mon, 12 Oct 2020 20:30:14 +0100 Subject: [PATCH] Mon Oct 12 2020 20:30:13 GMT+0100 (Afr. centrale Ouest) --- 15/47.txt | 1 + 15/50.txt | 1 + 15/52.txt | 1 + manifest.json | 5 ++++- 4 files changed, 7 insertions(+), 1 deletion(-) create mode 100644 15/47.txt create mode 100644 15/50.txt create mode 100644 15/52.txt diff --git a/15/47.txt b/15/47.txt new file mode 100644 index 0000000..5cd159a --- /dev/null +++ b/15/47.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 47 Adamu wa kwanza aliumbwa kwa udongo, yeye ni wa dunia, lakini Adamu wa pili alitoka mbinguni. \v 48 Watu wa dunia wanafanana na yule aliyeumbwa kwa udongo, na watu wa mbinguni wanafanana na yule aliyetoka mbinguni. \v 49 Na kama vile tulivyofanana na yule mtu aliyeumbwa kwa udongo, vilevile tutafanana na yule aliyetoka mbinguni. ayopata kwa ajili ya Bwana hayatapita bure. \ No newline at end of file diff --git a/15/50.txt b/15/50.txt new file mode 100644 index 0000000..fef6c69 --- /dev/null +++ b/15/50.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 50 Wandugu zangu, muangalie, jambo ninalotaka kusema ni hili: kile kilichoumbwa kwa nyama na damu hakiwezi kupata urizi katika Ufalme wa Mungu katika hali ile, wala hakuna chenye hali ya kuharibika kinachoweza kuwa na hali ya kutoharibika. \v 51 Sasa nitawaambia ninyi siri: sisi wote hatutakufa, lakini sisi wote tutabadilishwa \ No newline at end of file diff --git a/15/52.txt b/15/52.txt new file mode 100644 index 0000000..33d8dd7 --- /dev/null +++ b/15/52.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 52 kwa rafla, kama vile mtu anavyofunga jicho na kulifungua, wakati ngunga ya mwisho itakapolia. Kwa maana wakati itakapolia, wafu watafufuka na kupata kuwa katika hali ya kutoweza kufa tena, na sisi wote tutabadilishwa. \v 53 Kwa maana sherti mwili huu wa kuharibika uvae mwili wa kutoharibika, na mwili wa kufa sherti uvae mwili wa kutokufa. \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index 3e0e63e..7d541b8 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -213,6 +213,9 @@ "15-35", "15-37", "15-40", - "15-42" + "15-42", + "15-45", + "15-47", + "15-50" ] } \ No newline at end of file