Sun Oct 11 2020 20:14:14 GMT+0100 (Afr. centrale Ouest)
This commit is contained in:
parent
f2a2495ef8
commit
da6f983297
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\c 3 \v 1 Kweli wandugu zangu, sikuweza kusema nanyi kama watu wanaotawaliwa na Roho wa Mungu, lakini kama watu wanaotawaliwa na mambo ya kidunia. Mungali kama watoto wachanga katika mambo ya Kikristo. 2 \v 2 Niliwanywesha maziwa, sikuwapa chakula kigumu, kwa maana mulikuwa hamujakiweza bado. Na hata sasa hamukiwezi,
|
||||
\c 3 \v 1 Kweli wandugu zangu, sikuweza kusema nanyi kama watu wanaotawaliwa na Roho wa Mungu, lakini kama watu wanaotawaliwa na mambo ya kidunia. Mungali kama watoto wachanga katika mambo ya Kikristo. \v 2 Niliwanywesha maziwa, sikuwapa chakula kigumu, kwa maana mulikuwa hamujakiweza bado. Na hata sasa hamukiwezi,
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 3 kwa sababu mungali munatawaliwa na mambo ya kidunia. Kwa maana ikiwa kungali wivu na ugomvi katikati yenu, haionyeshi kwamba munatawaliwa na mambo ya kidunia, nanyi munaishi kufuatana na hali ya kimtu? \v 4 Wakati mmoja wenu anaposema: «Mimi ni wa Paulo na mwingine anasema: “Mimi ni wa Apolo,”» basi ninyi hamufanyi mambo ya kidunia? \v 5 Basi, Apolo ni nani? Na Paulo ni nani? Sisi ni watumishi wa Mungu, waliowaonyesha ninyi njia ya kuamini. Tumefanya vile kila mmoja wetu kwa kadiri ya zawadi aliyopewa na Bwana.
|
|
@ -60,6 +60,8 @@
|
|||
"02-10",
|
||||
"02-12",
|
||||
"02-14",
|
||||
"03-title"
|
||||
"03-title",
|
||||
"03-01",
|
||||
"03-03"
|
||||
]
|
||||
}
|
Loading…
Reference in New Issue