diff --git a/09/21.txt b/09/21.txt new file mode 100644 index 0000000..dbb5969 --- /dev/null +++ b/09/21.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 21 Vilevile ninapokuwa kati ya wasioishi chini ya Sheria ya Musa, ninaishi kama wao, bila kuangalia Sheria, kusudi niwapate. Hii si kusema kwamba mimi sishiki sheria ya Mungu, kwa maana mimi ni chini ya uongozi wa sheria ya Kristo. \v 22 Na kwa wale wanaokuwa zaifu katika imani, ninajifanya kama muzaifu kusudi niwapate hao wanaokuwa zaifu. Kwa wote nimejifunza kuwa mwenye hali kama yao, kusudi nipate kuokoa wamoja kati yao kwa njia mbalimbali. \v 23 Ninafanya hayo yote kwa ajili ya Habari Njema kusudi nipate sehemu ya baraka zake. \ No newline at end of file diff --git a/09/24.txt b/09/24.txt new file mode 100644 index 0000000..15342ec --- /dev/null +++ b/09/24.txt @@ -0,0 +1,2 @@ +24 Munajua hakika kuwa wale wanaofanya mashindano ya kukimbia, wote wanakimbia lakini ni mmoja tu anayepokea zawadi. Basi mukimbie hata mufikie kupokea zawadi. 25 Na kila mtu anayefanya mashindano katika michezo anajizuiza na vitu vingi katika mazoezi yake. Basi wanafanya hivi kusudi wapate taji yenye kuharibika; lakini sisi tunafanya vile, kusudi tupate taji isiyoharibika. 26 Ni kwa sababu hiyo ninakimbia nikiwa na shabaha ya kushinda. Mimi ni kama mupiganaji wa ngumi asiyepiga katika hewa. 27 Lakini ninatesa mwili wangu kwa mazoezi makali na kuutumikisha vikali kusudi mimi mwenyewe nisikataliwe kisha kutangaza ujumbe kwa watu wengine. + diff --git a/manifest.json b/manifest.json index f38b8ce..23c2dbb 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -130,6 +130,7 @@ "09-12", "09-15", "09-17", - "09-19" + "09-19", + "09-21" ] } \ No newline at end of file