diff --git a/09/19.txt b/09/19.txt new file mode 100644 index 0000000..8a2e3f5 --- /dev/null +++ b/09/19.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 19 Mimi si mutumwa wa mtu yeyote. Lakini nimejifanya kuwa mutumwa wa watu kusudi nipate wengi kati yao sawa inavyowezekana. \v 20 Kwa Wayuda, ninaishi kama Muyuda, kusudi niwapate Wayuda. Mimi siishi chini ya uongozi wa Sheria ya Musa, lakini kusudi niwapate wale wanaoishi chini ya Sheria ile, ninapokuwa kati yao, ninaishi kufuatana na Sheria ile. \ No newline at end of file diff --git a/09/21.txt b/09/21.txt new file mode 100644 index 0000000..d8b0d6c --- /dev/null +++ b/09/21.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 23 \v 21 Vilevile ninapokuwa kati ya wasioishi chini ya Sheria ya Musa, ninaishi kama wao, bila kuangalia Sheria, kusudi niwapate. Hii si kusema kwamba mimi sishiki sheria ya Mungu, kwa maana mimi ni chini ya uongozi wa sheria ya Kristo. \v 22 Na kwa wale wanaokuwa zaifu katika imani, ninajifanya kama muzaifu kusudi niwapate hao wanaokuwa zaifu. Kwa wote nimejifunza kuwa mwenye hali kama yao, kusudi nipate kuokoa wamoja kati yao kwa njia mbalimbali. \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index 292c1b4..f38b8ce 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -129,6 +129,7 @@ "09-09", "09-12", "09-15", - "09-17" + "09-17", + "09-19" ] } \ No newline at end of file