Sun Oct 11 2020 20:18:14 GMT+0100 (Afr. centrale Ouest)

This commit is contained in:
tsDesktop 2020-10-11 20:18:15 +01:00
parent eae0473865
commit 711777aaad
3 changed files with 5 additions and 1 deletions

1
03/10.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 10 Kwa kadiri ya zawadi Mungu aliyonipatia, kama vile fundi wa kujenga mwenye hekima, niliweka musingi. Na sasa, mtu mwingine anajenga juu yake. Lakini inafaa kila mtu aangalie vizuri namna anavyojenga. \v 11 Kwa maana hakuna mtu anayeweza kuweka musingi mwingine pahali pa ule uliokwisha kuwekwa, ni kusema Yesu Kristo.

1
03/12.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 12 Mtu anaweza kujenga juu ya musingi huu na zahabu, feza, mawe ya bei kali, miti, nyasi au majani. \v 13 Lakini hali ya kazi ya kila mtu itaonekana wazi, kwa sababu Siku ile ya hukumu itaionyesha waziwazi. Kwa maana Siku ile itajitokeza katikati ya moto, na moto ule ndio utakaopima na kuonyesha hali ya kazi ya kila mtu.

View File

@ -64,6 +64,8 @@
"03-01", "03-01",
"03-03", "03-03",
"03-06", "03-06",
"03-08" "03-08",
"03-10",
"03-12"
] ]
} }