Sun Oct 11 2020 19:21:31 GMT+0100 (Afr. centrale Ouest)
This commit is contained in:
parent
4cc245f510
commit
35d6c182fd
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\c 1 \v 1 Barua hii inatoka kwangu mimi Paulo na kwa ndugu yetu Sositeni. Ni mimi niliyeitwa na Mungu kwa mapenzi yake kuwa mutume wa Kristo Yesu. \v 2 2Tunawaandikia ninyi kanisa la Mungu linalokuwa Korinto, ninyi ambao mumetakaswa kwa njia ya kuungana kwenu na Yesu Kristo na mumeitwa na Mungu kuwa watu wake. Vilevile barua hii ni kwa wote wanaoabudu jina la Bwana Yesu Kristo fasi zote, anayekuwa Bwana wao na Bwana wetu vilevile. \v 3 3Tunawatakia neema na amani kutoka kwa Mungu Baba yetu na kwa Bwana Yesu Kristo.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
Sura 1
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
1 WAKORINTO
|
|
@ -32,6 +32,11 @@
|
|||
}
|
||||
],
|
||||
"parent_draft": {},
|
||||
"translators": [],
|
||||
"finished_chunks": []
|
||||
"translators": [
|
||||
"Swahili 10"
|
||||
],
|
||||
"finished_chunks": [
|
||||
"front-title",
|
||||
"01-title"
|
||||
]
|
||||
}
|
Loading…
Reference in New Issue