Sun Oct 11 2020 19:55:34 GMT+0100 (Afr. centrale Ouest)

This commit is contained in:
tsDesktop 2020-10-11 19:55:34 +01:00
parent 0e5953a203
commit 26b83206a8
3 changed files with 5 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 10 \v 11 10 Lakini Mungu ametufunulia sisi siri yake kwa njia ya Roho wake. Maana Roho anachunguza vitu vyote, hata mipango ya Mungu inayofichwa kabisa. 11 Hakuna mtu anayeweza kujua mawazo ya mtu mwingine isipokuwa tu roho ya mtu inayokuwa ndani yake. Vilevile, hakuna anayejua mawazo ya Mungu isipokuwa Roho wa Mungu tu.
\v 10 Lakini Mungu ametufunulia sisi siri yake kwa njia ya Roho wake. Maana Roho anachunguza vitu vyote, hata mipango ya Mungu inayofichwa kabisa. \v 11 Hakuna mtu anayeweza kujua mawazo ya mtu mwingine isipokuwa tu roho ya mtu inayokuwa ndani yake. Vilevile, hakuna anayejua mawazo ya Mungu isipokuwa Roho wa Mungu tu.

1
02/12.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 12 Na sisi hatukupokea roho ya dunia hii, lakini tulipokea Roho anayetoka kwa Mungu, kusudi tupate kujua vitu vyote tulivyojaliwa kwa neema ya Mungu. \v 13 Nasi tunaposema hatutumii maneno yanayotokana na hekima ya kimtu, lakini maneno yanayotokana na Roho wa Mungu, tukieleza maneno ya kiroho kwa watu wanaokuwa wa Roho.

View File

@ -56,6 +56,8 @@
"02-01",
"02-03",
"02-06",
"02-08"
"02-08",
"02-10",
"02-12"
]
}