diff --git a/01/01.txt b/01/01.txt index c74a88e..eedccc3 100644 --- a/01/01.txt +++ b/01/01.txt @@ -1 +1 @@ -\c 1 \v 1 Barua hii inatoka kwangu mimi Paulo na kwa ndugu yetu Sositeni. Ni mimi niliyeitwa na Mungu kwa mapenzi yake kuwa mutume wa Kristo Yesu. \v 2 2Tunawaandikia ninyi kanisa la Mungu linalokuwa Korinto, ninyi ambao mumetakaswa kwa njia ya kuungana kwenu na Yesu Kristo na mumeitwa na Mungu kuwa watu wake. Vilevile barua hii ni kwa wote wanaoabudu jina la Bwana Yesu Kristo fasi zote, anayekuwa Bwana wao na Bwana wetu vilevile. \v 3 3Tunawatakia neema na amani kutoka kwa Mungu Baba yetu na kwa Bwana Yesu Kristo. \ No newline at end of file +\c 1 \v 1 Barua hii inatoka kwangu mimi Paulo na kwa ndugu yetu Sositeni. Ni mimi niliyeitwa na Mungu kwa mapenzi yake kuwa mutume wa Kristo Yesu. \v 2 Tunawaandikia ninyi kanisa la Mungu linalokuwa Korinto, ninyi ambao mumetakaswa kwa njia ya kuungana kwenu na Yesu Kristo na mumeitwa na Mungu kuwa watu wake. Vilevile barua hii ni kwa wote wanaoabudu jina la Bwana Yesu Kristo fasi zote, anayekuwa Bwana wao na Bwana wetu vilevile. \v 3 Tunawatakia neema na amani kutoka kwa Mungu Baba yetu na kwa Bwana Yesu Kristo. \ No newline at end of file diff --git a/01/04.txt b/01/04.txt new file mode 100644 index 0000000..dea0908 --- /dev/null +++ b/01/04.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 4 \v 5 4Ninamushukuru Mungu wangu siku zote kwa ajili yenu, kwa sababu ya neema Mungu aliyowapa ninyi kwa njia ya Yesu Kristo. 5Kwa maana katika kuungana kwenu na Kristo, mumejaliwa katika vitu vyote, zaidi sana katika mambo yanayoelekea masemi na ufahamu. 6 \v 6 Ile inatokana na vile ujumbe juu ya Kristo umehakikishwa kwa nguvu kati yenu, \ No newline at end of file diff --git a/01/07.txt b/01/07.txt new file mode 100644 index 0000000..d68f3c3 --- /dev/null +++ b/01/07.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 7 \v 8 \v 9 \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index f2c8ed4..b00a406 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -37,6 +37,7 @@ ], "finished_chunks": [ "front-title", - "01-title" + "01-title", + "01-01" ] } \ No newline at end of file