Sun Oct 11 2020 20:22:14 GMT+0100 (Afr. centrale Ouest)

This commit is contained in:
tsDesktop 2020-10-11 20:22:15 +01:00
parent 97933d5a98
commit 0f633bf5fd
3 changed files with 5 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\16 Hamujui hakika kuwa ninyi ni hekalu la Mungu na kuwa Roho wa Mungu anakaa ndani yenu? 17 Basi mtu akiharibu hekalu la Mungu, Mungu atamuharibu vilevile. Kwa maana hekalu la Mungu ni takatifu, na ninyi ndilo hekalu lake.
\v 16 Hamujui hakika kuwa ninyi ni hekalu la Mungu na kuwa Roho wa Mungu anakaa ndani yenu? \v 17 Basi mtu akiharibu hekalu la Mungu, Mungu atamuharibu vilevile. Kwa maana hekalu la Mungu ni takatifu, na ninyi ndilo hekalu lake.

1
03/18.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 18 Mtu yeyote asijidanganye mwenyewe. Kama mtu fulani kati yenu akijizania kuwa mwenye hekima ya kidunia, ajifanye kama mupumbavu kusudi apate kuwa na hekima ya kweli. \v 19 Kwa maana hekima ya kidunia ni upumbavu mbele ya Mungu. Ni sawa vile Maandiko Matakatifu yanavyosema: «Mungu anawanasa wenye hekima katika werevu wao wenyewe. \v 20 Nayo yanasema vilevile: “Bwana anatambua mawazo ya wenye hekima; anajua kwamba ni ya bure.”»

View File

@ -67,6 +67,8 @@
"03-08",
"03-10",
"03-12",
"03-14"
"03-14",
"03-16",
"03-18"
]
}