mgz_act_text_reg/13/48.txt

1 line
163 B
Plaintext

\v 48 Mataifa waliposikia hili walifurahi na kulisifu neno la Bwana. Wengi waliochaguliwa kwa uzima wa milele waliamini. \v 49 Neno la Bwana lilienea ncho yote.