gmx_rom_text_reg/09/27.txt

1 line
381 B
Plaintext

\v 27 Isaya analia kuhusiana na Israeli, "Kama hesabu ya wana wa Israeli ingekuwa kama mchanga wa bahari, itakuwa ni masalia ambao wataokolewa. \v 28 Kwa kuwa Bwana atalichukua neno lake juu ya nchi, mapema na kwa utimilifu. \v 29 Na kama jinsi Isaya alivyosema awali, "Kama Bwana wa majeshi hakutuachia nyuma uzao kwa ajili yetu, tungekuwa kama Sodoma, na tungefanywa kama Gomora.